Makonda Arudi Bongo kimya Kimya,Leo Aonekana Kurasini Akizindua Barabara..!!!!


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda amezindua barabara ya Shimo la Udongo, Kilwa EPZ iliyopo kurasini ya Kilomita moja; Iliyojengwa kwa kiwango cha zege na kampuni ya wazalendo ya Grant Tech iliyogharimu takribani milioni 350.

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hana amani sifa zoote kweshnay. kakaa kama digidigi.

    ReplyDelete
  2. uso umemshuka kama mbuzi wa hitma. lete vyetiiii. hana jipyaaaaa!

    ReplyDelete
  3. Kwani alivyo ondoka aliondoka kwa matarumbeta mpaka arudi kimya kimya?

    ReplyDelete
  4. Kiko wapi team Mange na Ngwajima mlisema kakimbia inchi for 2 month????? Tangia muanze kusema lete vyeti ingekuwa muajiri wake ana wasikiliza angekua kasha mtimua kazi,,,,,ila ndio kwanza ana piga mzigo kama kawa na mapovu yana watoka,,,,,

    ReplyDelete
  5. Ingekuwa kila kazi ya utawala ina hitaji vyeti Majeshini kungekuwa hakuna Ma jenerali darasa la saba mtasubiri sana atoe vyeti hata kukaa kimya nako ni jibu pia,,,,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeonaeeh! Kukaa kimya ni jibu la MJINGA.........watasema-mchana-usiku-watalala

      Delete
    2. Tehtehteh!Waanze kuomba vyeti jeshini,ndio wataona kumbe hii nchi imeongozwa na wasiosoma lakini walikuwa makini kwelikweli.Tunamtaka makonda hata kama ni darasa la saba.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad