Makonda Yuko Sahihi. Kubadili Jina Kuko Kisheria...!!!


Kubadilisha jina ni jambo la kawaida na linaruhusiwa kisheria ni suala la kwenda mahakamani na kuapa tu kama Paul Makonda aliamua kuchukua jina hilo badala ya Daudi Bashite na akaapa mahakamani hajavunja sharia yoyote ile ni haki yake kisheria acheni hoja za hovyo hovyo.

Mfano kwenye suala la Makonda hii inawezekana
Shule ya msingi ametumia jina la Daudi Bashite

Secondary School akatumia Paul Christian Muyenge

Chuo akatumia Paul Makonda.

Kisheria hii inawezekana kabisa na wala hakuna kosa lolote .

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KISHERIA HAIWEZEKANI KUBADILI JINA WAKATI ULIKUWA UNATUMIA VYETI VYA MTU MWINGINE, WAKATI HUYO MWENYE VETI YUPO

    ReplyDelete
  2. vyetiii hadharani tu ndiyo itamaliza hizi figisu.Mheshimiwa tusadie tu roho zetu zitulie..figisu hizi zisiharibu kazi nzuri uliyoianza..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad