Makonda: Zitto Amenisaidia Sana Kuelewa Siasa..!!!!


Mkuu wa Mkoa wa Dsm, Paul Makonda akiwa kwenye interview amesema Mbunge wa Kigoma Mjini(ACT) ndiye Mbunge anayemsaidia kuelewa siasa.

Afafanua kuwa, Zitto anajua kujenga hoja za kuiyumbisha serikali hasa kwenye kusimamia mambo mbalimbali yenye maslahi ya kitaifa.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kikulacho..!!!! Kinolewacho.. Muulize mbowe..na mtatiro na yule WA kigoma. Wanamwelewa huyu fika. Shauri yako .

    ReplyDelete
  2. Wakale wamesema "kuchamba kwingi huondoka na mavi, mbio za sakafuni huishia ukingoni, harakaharaka haina Baraka, mtaka nyingi nasaba humfika mwingi msiba na polepole ndio mwendo ni sifa ya mzalendo"

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad