Mange Kimambi :Nimepata Kiki ya Kutosha..!!!




Ngachoka mie, kwa hiyo drama zote zile ulikua unatafuta kiki? Sasa kumbe ulikua unamuonea wivu makonda alivyokua anatoka kwenye magazeti kila siku eeh? Ukaamua sasa umchafue weee, dah tutajionea mengi mwaka huu, dah hizi kiki mwaka huu hatari, na umefanikiwa kwa kweli, kazana kuitukana serikali, but remember karma is around the corner 

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We vp kwan hiyo kik yake anachopost kuna cha uwongo...mixxeewww kameze wembe kama unaona wivu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad