Mbowe na Mkewe Matatani..TRA Yawashutumu kwa Makosa haya

Mahakama ya wilaya ya Ilala imewaita mahakamani Freeman Mbowe na mkewe pamoja na aliyekuwa meneja wa klabu ya Bilicanas, Steven Miligo kwa maombi ya mamlaka ya mapato Tanzania(TRA) baada ya kushindwa kuwapata kwa kutumia barua za wito.

TRA inawashutumu kwa kushindwa kutumia mashine za EFD kutoa risiti, kutoa nyaraka za uongo kwa TRA na kushindwa kutekeleza matakwa ya usimamizi wa kodi.
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyi watu vipi huku kunysnyasa watu. Makonda mbona mbamfufa. Hajaonyesha cheti. Na katumia cheo vibsya, licha ya bunge kuhakikisha. Vipi hii serikali.kanyanyasa watu mbamlea kwa makosa makubwa. Nia ya serikali ni nini kwa sasa.

    ReplyDelete
  2. Mrs Mbowe beutiful swafiii

    ReplyDelete
  3. Sitaki kuamini kama Mbowe anaweza kufanya hivyo,vipi mkuu?Hakuna kashfa kama hizi kwa Lowasa,Mmmmmhhhh

    ReplyDelete
  4. jAMANI KUMBE KAOA..!! MMALEKANI AU MWINGELEZA..DADAKE NANI VILE.. TRA LAZIMA WACHUKUE CHETU. TUNAMILADI IKO KATIKA TASMINI NA TUNAHITAJI PESA KUANZISHA. NA WALE WALIOKOMBA NSSF KIGAMBONI WOTE WARUDISHE CHETU. TRA JUKUMU MNALO LA KUHAKIKISHA MADENI YANALIPWA NA PATO LINAKUSANYWA. IKIBIDI HATA KWA MNADA LINAWEZEKANA VILE VILE...

    ReplyDelete
  5. jAMANI KUMBE KAOA..!! MMALEKANI AU MWINGELEZA..DADAKE NANI VILE.. TRA LAZIMA WACHUKUE CHETU. TUNAMILADI IKO KATIKA TASMINI NA TUNAHITAJI PESA KUANZISHA. NA WALE WALIOKOMBA NSSF KIGAMBONI WOTE WARUDISHE CHETU. TRA JUKUMU MNALO LA KUHAKIKISHA MADENI YANALIPWA NA PATO LINAKUSANYWA. IKIBIDI HATA KWA MNADA LINAWEZEKANA VILE VILE...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad