Mbunge Peter Msigwa Amrushia Dongo Paul Makonda Kupitia Facebook


Mbunge Peter Msigwa Ameweka Picha hiyo hapo juu katika ukurasa wake wa Facebook na Kuandika Haya Hapa chini:


"Hakuna vita yoyote ya kiroho wal kimwili ALIYOFANYA (BASHITE)Makonda BALI, ni Upuuzi wa kiwango cha juu in the real sense, ANAJARIBU KUFANYA MAMBO YA TEMBO , KUMBE ANA ROHO YA SUNGURA, kulia haitasaidia , atubu kwa kuwasingizia watu UONGO!! Bashite you are still young , go get some leadership skills!, TITTLE , AUTHORITY AND POWER is dangerous without leadership skills" Peter Msigwa


Una maoni Gani?
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad