Mchungaji Gwajima Kuwafungukia Watangazaji wa Clouds TV leo


Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mchungaji Gwajima Ameandika Haya:

From @bishopgwajima - Nitatoa ufafanuzi wa wazi juu ya taarifa zinazosambazwa mtandaoni na baadhi ya watangazaji wa Clouds TV. Nitakuwa LIVE kwenye YouTube kuanzia saa nne na nusu asubuhi ya leo. Link ya channel ipo kwenye Bio yangu unaweza kusubscribe ili ujulishwe Mara niingiapo hewani. Mungu akubariki.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. duuuuuh kweli mwisho wa ubaya ni aibu gwajima utumishi wa kanisani na utumishi wa dunia wapi na wapi umeyafanya madhabahu ya mungu km sehemu ya siasa kanisa limekua km pango la wanyanganyi ona sasa unavyoaibika mungu amekuumbua sasa yale mapepo ulotuma yaende kwa makonda yakasema hayamuwezi yamebaki kwako umeaibika mchana kweupeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad