Mwita Waitara: Sitakubali Kudhalilishwa na Rais Magufuli,Nitahakikisha na Kula Naye Sahani Moja..!!!!


Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amesema hatishwi na vitendo vya Rais Magufuli kuwashambulia wabunge wa vyama vya upinzani kwenye ziara zake.

Mwita amesema kitendo cha Rais kumshambulia Mbunge wa CUF jimbo la Lindi, kimewadhalilisha wabunge wote wa upinzani na kwamba hatamvumilia iwapo atamdhalilisha jimboni kwake atapambana naye

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad