Nape Nnauye na Mkuu wa Mkoa wa Dar Ndio Vijana Mfano kwa Tanzania Ijayo..!!!!


Tunafundishwa Shuleni kwamba "knowledge is Power" yaani " Maarifa ni nguvu" na wengine tumesoma shule huu ukiwa ndio motto. Moto huu umepitwa na wakati "knowledge is not power" lakini " application of knowledge that is power" , yaani "Matumizi ya maarifa ndio nguvu sio maarifa yenyewe".

Uwezo wa kuchukua maamuzi sahihi au hata yasiyosahihi au maamuzi sahihi kwa njia batili kwa maarifa kidogo uliyonayo ndio unawatofautisha vijana hawa wawili na mamia ya vijana walio katika uongozi. Tumekuwa na watu wenye mamlaka, watu wenye nguvu ya kuchukua maamuzi kisheria watu wenye usomi ulio tukuka, watu wenye Cv page kama sabini lakn waoga kuchukua maamuzi sahihi au ambayo yataonekana fyongo baadae hata kuapply maarifa yaliyo katika bongo zao . Ninaamini vijana hawa pamoja na mapungufu yao yanayojitokeza wakipewa nafasi ya kujirekebisha na kukosolewa maamuzi yao watakuwa hazina kwa siasa za tanzania ijayo.

Note: maoni haya hayana uhusiano na issue ya vyeti maana namjadili huyu tunaemuona

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. DAUDI BASHITE HUWEZI KUMFANANISHA NA NAPE NAUYE HATA SIKUMOJA.
    DAUDI BASHITE ALINUNUA VYETI, NAPE NAUYE ALIUSUGUA KUSOMA MPAKA KAFIKIA PALE ALIPO.
    DAUDI BASHITE AMETENDA KOSA LA JINAI, KWA HIYO ANAHITAJIKA KUAZIBIWA KAMA WENGINE BILA KUANGALIA UNDUGU ALIOKUWA NAO NA MUHESHIMIWA RAIS.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad