New Music: Harmorapa Aachia Wimbo Kiboko ya Mabishoo ft Juma Nature, Amchana Mose Iyobo na Wengine...!!!


Msanii wa muziki Harmorapa ameachia wimbo wake mpya Kiboko ya Mabishoo akiwa amemshirikisha Juma Nature. Wimbo umeandaliwa na producer T Touchez.

Katika kazi hiyo ambayo tayari imeanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, Harmorapa amewachana baadhi ya mastaa akiwemo dansa Mose Iyobo, na watu wengine ambao wamekuwa wakim-‘diss’ kuwa hajui muziki na kusema yeye hajali maneno yao machafu kwani yeye amekuja kutafuta pesa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad