Noma Sana...Kikwete Atoa ya Moyoni Baada ya Kupanda Bombardia Kwa Mara ya Kwanza...!!!!


Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete Hivi Karibuni Alipanda Ndege Mpya za Air Tanzania,Ambapo Mara Baada ya Kuzipanda Aliandika Ujumbe Huu Kupitia Ukurasa wake wa Twitter

Nimefurahia kusafiri na @AirTanzania kuja Mwanza. Nimefurahia huduma,uweledi na ukarimu wa watoa huduma wake. Nawatia shime muendelee hivyo.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huduma Lazima Iwe nzuri coz ya cheo na madaraka uliyokuwaq nayo mwanzo, je na kwa wengine ni hivyo?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad