Picha: Alikiba Alivyotumbuiza na Kujaza Watu Kwenye Show Yake ya Minnesota, Marekani Jumamosi Hii...!!!


Alikiba bado yupo busy na ziara yake ya Marekani. Jumamosi hii muimbaji huyo alitumbuiza katika mji wa Minnesota.

Ziara ya mkali huyo imeanza March 4 na itamalizika mwezi April mwaka huu. Jumamosi ya March 18 hitmaker huyo wa Aje atatumbuiza mjini Washington DC.
Miji ambayo ataipitia katika ziara hiyo ni pamoja na Las Vegas, Austin, Houston na Minnesota, Minneapolis na Washington DC. Tazama picha zaidi za show hiyo ya Minnesota hapa chini.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad