Mbunge wa Chadema Kunti Majala ameokolewa na Polisi Mara baada ya dereva wake kushushiwa kipigo na makada wa Chama Cha Mapinduzi ,Baada ya Kuendesha Gari Hilo Karibu na Makao Makuu ya CCM Dodoma.
N:B Jengo lipo karibu na barabara magari yanapopita kwahiyo mbunge alikuwa anapita barabarani
Ulijaribu..na Usijaribu tena..fikisha ujumbe kwa hawa hawajaribiwi na ukijaribu nakujaribu na ujumbe umapewa kufikisha kwa wajaribuji..UTAJARIBU TENA KUSIPO JARIBIWA..MUULIZE JABIRI NA MAKOJE WA KALIONJE KULE ZABANGA..YEYE AMEKOMA KUJARIBU KUSIKO JARIBIKA..POLENI WAFUASI KWALI
ReplyDeleteUlijaribu..na Usijaribu tena..fikisha ujumbe kwa hawa hawajaribiwi na ukijaribu nakujaribu na ujumbe umapewa kufikisha kwa wajaribuji..UTAJARIBU TENA KUSIPO JARIBIWA..MUULIZE JABIRI NA MAKOJE WA KALIONJE KULE ZABANGA..YEYE AMEKOMA KUJARIBU KUSIKO JARIBIKA..POLENI WAFUASI CDM
ReplyDeleteUlijaribu..na Usijaribu tena..fikisha ujumbe kwa hawa hawajaribiwi na ukijaribu nakujaribu na ujumbe umapewa kufikisha kwa wajaribuji..UTAJARIBU TENA KUSIPO JARIBIWA..MUULIZE JABIRI NA MAKOJE WA KALIONJE KULE ZABANGA..YEYE AMEKOMA KUJARIBU KUSIKO MaJARIBIKA..POLENI WAFUASI MACHADE
ReplyDeleteTATIZO WATANZANI HATUJIONGEZI KWANI MBUNGE KUKATIZA NAE AMEHALIFU UNAMPIGA MWENZIWE KESHO NAE ATAKUONA ADUI EMBU TUWE KITU KIMOJA KAMA WATU WA TAIFA MOJA INAMAANA NIKIWA NA JIRANI WA CHAMA PINZANI KAMA ANAUNGULIWA NYUMBA NA MOTO NISIMSAIDIE?
ReplyDeletewhy no publish?...!!!
ReplyDeletejamani tuache uongo mbona haijatangazwa kwny habari,duuuuh kweli nyie udaku
ReplyDelete