Rasmi..Makonda Sasa Kupelekwa Mahakamani kwa Issue ya Vyeti Feki,Tundu Lissu Kuongoza Timu ya Mawakili ili Wamsulubu Kisheria..!!!


Meya wa Ubungo, Boniphace Jacob amesema Jumanne wiki ijayo  atafungua kesi ya jinai dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kutokana na  madai ya kuwa na vyeti feki.

Jacob pia amesema, atamshtaki Makonda katika sekretarieti ya maadili ya utumishi wa umma, tume ya haki za binadamu pamoja na utawala bora.

Amesema kesi hiyo ambayo itaongozwa na mawakili Tundu Lissu pamoja na Peter Kibatara.

“Tunachosubiri ni wanasheria wamalize mchakato wa uchaguzi Chama cha Wanasheria Tanganyika (TSL) na mara watakaporejea kutoka Arusha tutakwenda mahakamani” amesema 

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mtahangaika sanaaa

    ReplyDelete
  2. kweli kazi yao kwenda mahakamani kila kukicha wananchi wenu watapata maendeleo saa ngp mahakaman kila ck hamuoni hata haya yaani mmemkalia motto wa watu kooni looooooooooo

    ReplyDelete
  3. NA BADO, MTAKONDA KWA KUTOA POVU. MAKONDA FANYA KAZI YAKO. HIZO ZOTE NI KELELE TU

    ReplyDelete
  4. Wajinga ndio wajinga. Hata ukiwapeleka shule watabaki kuwa wajinga. Mskonda achukuliwe sheria kali kama mtanzania aliyekosa. Sheria ni sheria. Huu ukaka, umjomba ukabila wa usukuma ndugu Nyerere baba wa Taifa aliuukataa. Nyinyi mnskuwa ksma hamjasoma. Sheria moja itumike sawa kwa kila Mtanzania. Isichague kumpendelea ccm.nyinyi watu mbona mnashindwa kufikiri.Makonda si aachishwe kazi tu afungwe. Badala ya Taifa kusongs mbele kijitu kimoja tu eti sababu ni kcvm na madawa ya kulevya. Mbona Raisi aliyepita pia inabifi ashtakiwe pia kwa kushindwa kukomesha madawa na alikuwa na orofha. Ni yeye nfiye anayemuinga mkono Makonda sababu wahusika wakuu wa madawa bado hawajaguswa.Makonda anatumiwa na biongozi wa ngazi za juu za ccm kuufunika ukweli.ni wao wsnaokalia majina ya waingizaji wskuu wa madawa hay hii ni geresha inatumika kuwasahau hawa wahusika wakuu. Kijana kapewa kichwa, ulinzi na cheo vha kulidharsu bunge, na kuwasingizia watu, na kuwafedhehesha watu wengine ambao hawana uhudiano wowote na madawa, kicsa rsngi nyingine ya karatasi ya chama.huu ni ubaguzi, uchochezi, unfugunization, ikabila na unyanyasaji.hili si jambo la kulikalia kimya. Sheria za nchi zizingatiwe ili kila mtu atumikiwe sawa bila upendeleo woeote.

    ReplyDelete
  5. Sasa jamani mnafikiri Tundu Lisu na hicho kibatari chao watafanya kazi gani kwa sasa, ikiwa uchaguzi umekwisha na yale walokuwa wakiyapigia kelele JPM kayafanya yote, wafanye nini sasa kama sio mwendo wa mahakamani asubuhi na jioni!!! Wakisikia kesi hatakama haiwahusu wanainunua na wapo tayari kuwa mawakili wasaidizi.........yote hiyo ni katika kumkingia kifua mwenyekiti wao Mbowe asihojiwe na Polisi kuhusu madawa ya kulevya.......waende juu wapite chini MAKONDA JEMBE......AMETHUBUTU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad