Ruge Amjibu Magufuli: Hatujakupangia Umtumbue Makonda, Ila Anatakiwa Aombe radhi..


Mkurugenzi wa Clouds Media Ruge Mutahaba amejibu kauli ya Magufuli kuwa hapangiwi kumuwajibisha mtu; Ruge amesema hawajampangia kumuwajibisha Makonda ila alichofanya sio sahihi na anatakiwa aombe radhi.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na wewe kwann unalazimisha uombwe radhi achane kutangaza habari zake ndiyo mkome kubeba watu mlikuwa mnapamba sana matokeo yake ndiyo hayo sasa

    ReplyDelete
  2. ana uwezo huo wa kumjibu magu?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad