Rungwe - Ningekuwa Rais Ningehakikisha Watanzania Wanapata Chakula Wanashiba Ndii,Halafu Mengine Ndio Yangefuata


Mwenyekiti wa chama CHAUMMA Mhe Hashim Rungwe yupo Kikangooni live anaongelea mambo mbalimbali.

Ningekuwa Rais jambo la kwanza ningehakikisha wananchi wote wanapata chakula, wanashiba kwanza mengine baadaye.

Ningefanya bei ya unga iwe shilingi 250, watoto shule wapate chakula, wapate uji, hawawezi kusoma na njaa.

"Chama Cha Mapinduzi hakina utamaduni wa kuwaheshimu watu wengine wenye uwezo ambao wanatoka vyama vingine.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli.sijaona akichagua watu vyama vingine wenye uwezo wa kazi. Yete ni ccm tu. Ni kama nchi ya ccm. Haoni wengine. Ndo maana wengi anaowachagua hawana sifa. Wenye difa wapo nje ya ccm hawaoni.uchaguzi wa viongozi uzingatie maslahi ya Taifa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad