Simulizi ya Kweli ya Mtanzania Aliyejiunga na Freemason na Kupewa Cheo Kikubwa Afrika Mashariki,Afichua Siri Zao na Jinsi Wanavyofanya Ibada Zao...!!!!


KWA UFUPI

Ni Mtanzania Jayantilal Keshavji Chande, maarufu zaidi kwa jina la Sir Andy Chande, ameeleza namna alivyokua kutoka kwenye familia ya kawaida hadi kuwa kiongozi wa Freemason Afrika 
Mashariki


Dar es Salaam. Wamekuwa wakitajwa kwenye kila aina ya minong'ono. Tumeona matangazo yakialika watu kujiunga nao kama wanataka kupata utajiri na kuwa watu wenye nguvu. Lakini bado Freemason, imebaki kuwa kitendawili miongoni mwa Watanzania wengi.

Leo tunakuletea habari kuhusu Mtanzania maarufu aliyefungua kinywa na kueleza namna alivyojiunga na Freemasons, kundi lililo kongwe duniani.

Tayari watu mbalimbali watu wenye hamu ya kupata utajiri wamekuwa wakitoa ushuhuda kuhusu kundi hilo na kusikika kwenye vyombo vya habari, hasa baada ya kifo cha mwingizaji nyota, Stephen Kanumba, mwaka 2012.

Siyo hivyo tu, bali kumeibuka pia matangazo yenye namba za simu yanayoshuhudiwa kwenye nguzo za simu mitaani hadi vichochoroni yakiwataka watu wanaotaka kujiunga na Freemason kupiga simu ili wapewe utaratibu wa namna ya kujiunga kwenye ‘kisima hicho cha mafanikio'.

Baadhi ya watu tayari wameshanaswa na mtego huo, huku wengine wakiendelea kujaribu bahati yao kujipatia utajiri kwa njia ya ‘nguvu za giza'.

Hata hivyo Jayantilal Keshavji Chande, maarufu zaidi nchini kwa jina Sir Andy Chande, aliyejiunga na Freemason Oktoba 25, 1954 baada ya kupita kwenye usaili mzito, anaeleza namna alivyoibuka kutoka familia ya kawaida hadi kuwa kiongozi wa Freemason Afrika Mashariki.

Sir Andy Chande, ambaye amekuwa mwanachama wa kundi hili kwa karibu miongo sita sasa, anaeleza namna alivyosajiliwa na kufikia hatua ya juu ndani ya kundi hilo.

Chande alizaliwa Mombasa Kenya, Mei 7, 1928, ingawa wazazi wake walikuwa wakiishi Bukene mjini, mkoani Tabora, magharibi mwa Tanzania.

Katika kufafanua utaratibu mzima wa Freemason, Chande ameandika kitabu alichokiita; ‘A night in Africa-a journey from Bukene' (Usiku wa Afrika-Safari kutoka Bukene), pengine akitaka kuweka sawa dhana na kuondoa tofauti ili misingi inayoendesha Freemason ifahamike.

Imani ya kimaadili na thamani ya kundi hilo ilianza wakati wa mazungumzo yake na Messrs Campbell Ritchie na McLean mwanzoni mwa miaka ya 1950.

"Katika kipindi kile nilianza kutambua kuwa Freemason ipo katika msingi wake. Ni sayansi ya maisha ambayo malengo yake ni kumbadilisha mtu kiimani na kumfanya awe anavyopaswa kuwa. Ni mabadiliko ya mtu binafsi," Sir Andy Chande ameandika katika kitabu chake chenye kurasa 207.

Anasema kuwa malengo ya Freemason yamefunikwa na mafumbo, ambayo pengine ndiyo yanayoeleza utamaduni uliojificha katika utendaji kazi wake. Chande anabainisha kuwa kanuni kubwa tatu za Freemason ziliandikwa kwenye kitabu kimoja nchini Canada, kilichochapishwa na Kampuni ya Penumbra Press.
Anaandika: "Kwa hiyo, ukiwa kwenye ngazi ya kwanza (first degree), kanuni inayoongoza, inamtaka mtu awe mkweli na mwenye maadili ambayo hasa Freemason inalenga kuyaweka kwenye akili, ili mwanachama awe mzuri.

Ngazi ya pili ya utaratibu inatilia mkazo kwenye vipaji na akili kupitia sanaa na sayansi, ili kutoa mchango mzuri iwezekanavyo kwenye maisha."

Anafafanua kuwa ngazi ya tatu inampa mtu nafasi ya kutafakari uwepo wake kwa kina na kwamba kanuni zote tatu zinafahamika kama upendo wa kindugu, kujiweka huru na ukweli.

"Kwa njia hizi inamaanisha, unafundishwa namna ya kuyafurahia maisha kwa kiwango chake cha juu. Kwa kufuata hizo kanuni tatu za upendo wa kindugu, kujiweka huru na ukweli, wakati huohuo ukijitambua na kuanza kujiandaa na kutokwepeka kwa kifo," anaandika Chande.

Anaongeza kuwa, wakati kanuni hizo tatu zinapoondolewa kwenye alama ya sanaa inayofunika imani ya Freemason, ambazo zilimpa udadisi wa kupata taarifa kuhusu utaratibu huo wa kale.

Sir Andy Chande ni Kiongozi wa Freemason Afrika Mashariki.

Kanuni za Freemason zinafundisha nini?

Katika ratiba ya Freemason, anaandika Chande akieleza kuwa, kanuni ya upendo wa kindugu inawafundisha ndugu wote kuwachukulia wanadamu wote kama familia moja iliyoumbwa na nafsi moja kuu.

"Kujiweka huru, vilevile, inaleta ujumbe nilioupata kutoka kwa baba yangu, aliyesema ni kuwekwa huru kwa mtu mwenye msongo. Kama ni kuwekwa huru kutoka kwenye umaskini, matatizo au akili isiyo na furaha," anaandika Chande katika kitabu hicho.

Anafafanua kuwa ngazi ya tatu ambayo ni ukweli na pengine ndiyo muhimu zaidi ni mchango wa kimungu kwa mwanachama wa Freemason.

Anabainisha kuwa kipindi hicho ndicho kinachoheshimika kama njia ya matazamio na marekebisho na kama inawezekana, kurudiwa kwa kanuni hizo kama msingi wa kuelekea kanuni kuu nne alizozitaja kuwa ni; udhibiti binafsi, nguvu, umakini na haki.Chande anaeleza kuwa Freemason siyo kifaa cha dini, pia siyo mpinzani wa dini, lakini inakaribisha watu wote bila kujali dini zao na haijaribu kubadilisha imani zao au kushawishi kuabudu kwao.

"Inajaribu tu kuwafanya watu kuwa wema," anaandika Sir Chande akifafanua:

"Hii ndiyo dunia niliyoingizwa mwaka 1954, imekuwa na mchango mkubwa katika maisha yangu tangu wakati huo…: Roho yangu, akili yangu na nafsi yangu, vimetajirishwa na kushiriki kwangu Freemason
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. i want to share my testimony of how i become rich and famous today… i was deeply strangled up by poverty and i had no body to help me, and also i search for help from different corners but to no avail… i see people around me getting rich but to me i was so ashamed of my self so i met a man on my way he was very rich and he was a doctor so he told me something and i think over it though out the day so the next day i looked up and i keep repeating what he said to me. ” if you want to get rich quick and be famous” you need to cross your heart and do what is in your mind so i tried all i could in other for me to do as he said so later on i told my fellow friend about this same thing then my friend was interested in my suggestions so i decided to look in the internet and i found their number so we decided to contact them and unfortunately we did as they instruct us to do and later they told us to get some requirements and all the rest… so this initiation took us just a week and later on the great fraternity gave us $1,200,000 to start up our lives…. and now am testifying that if in any case you want to join any great fraternity all you need to do is for you to contact them because they are legitimate and they do as what they instructed them to do, so you can as well WhatsApp me +2348106618681 or for more information +1(705)8062021 you can Email: illuminatipowerful666@gmail.com..

    ReplyDelete
  2. I used that email u told us illiminatpowerful666gmail.com but no reply what do i do next

    ReplyDelete
  3. my email is habibutumbo67@gmail.com

    ReplyDelete
  4. Hey kila mtu Nataka kutumia kwa haraka hii ya kati kushiriki ushuhuda kuhusu jinsi nilivyoelekezwa kwa mwanachama wa Freemason Assembly legit na kwamba kubadilishwa maisha yangu nyasi kwa neema, kutoka maskini hadi mwanamke tajiri, ambayo inaweza sasa kujivunia ya maisha ya afya. Maisha tajiri bila matatizo ya shida au ya kifedha. Baada ya miezi mingi kujaribu kuwa mwanachama wa bunge la Freemason na kupata ripped kwa jumla ya 1,700 euro mimi akawa na tamaa kama mwanachama online kwamba anaongeza kitu kwa maumivu yangu, hivyo niliamua kuwasiliana na rafiki mwanachama, sisi kujadiliwa suala hilo na hitimisho yetu, Yeye aliniambia kuhusu mtu aitwaye Daudi ambaye ni namba 2 kuu ya dini ya Ulaya yote. Hivyo niliuliza kuwa mwanachama wa bunge la Freemason kwa urahisi bila ya dhiki na maandalizi yote muhimu ya kuwa mwanachama katika siku mbili mimi nilikuwa kamili kusajiliwa, mimi akawa mwanachama na jumla ya 50,000,000 euro imekuwa kuhamisha kwangu na pia kupokea 800000 euro kama mshahara kila mwezi. Ili kumshauri yeyote anayetaka kujiunga anapaswa kuwasiliana kupitia WhatsApp +31687718900 au barua pepe: unitednationalmasons@protonmail.ch hawajui Ninafanya hili Ninaomba kwamba Bwana aendelee kuwabariki ndugu na dada wote katika utaratibu huu kwa mambo mazuri ambayo nimekufikia katika maisha.

    ReplyDelete
  5. Hello everyone my name is Alexis Andrewi am from Italy i'm giving a testimony on how I joined the illuminati brotherhood, I was trying to join this organization for so many years now, I was scammed by fake agent in south Africa and Nigeria, I was down i could not feed my self and my family anymore and I tried to make money by all means but all in vain, I was afraid to contact any illuminati agent because they have eat my money, one day I came across a post of someone giving a testimony thanking a man called David Mark for helping him to join the illuminati brotherhood, then I looked at the man's email and the phone number that was written there, I was afraid to contact him because i was scammed a lot of times by scammers and went away with the money then I was very confused so I decided to contact the person that was given the testimony and i called him and I communicated with him on phone calls before he started telling me his own story about when he wanted to join he told me everything to do, then I made up my mind and called the agent David Mark and he told me everything to do and I was initiated, surprisingly I was given my benefit of being a new member of the great illuminati brotherhood I was so happy, for those of you trying to join this organization this is your opportunity for you to join CONTACT MR David Mark on WhatsApp number +2348140101327

    ReplyDelete
  6. Habari zenu wote naitwa Alexis Andrewi natokea Italy natoa ushuhuda jinsi nilivyojiunga na illuminati brotherhood,nilikuwa najaribu kujiunga na shirika hili kwa miaka mingi sasa,nikatapeliwa na wakala feki kule south Africa na Nigeria, nilikuwa chini sikuweza kujilisha tena mimi na familia yangu na nilijaribu kutafuta pesa kwa njia zote lakini haikufanikiwa, niliogopa kuwasiliana na wakala yeyote wa illuminati kwa sababu wamekula pesa yangu, siku moja nilikutana na post ya mtu. akitoa ushuhuda wa kumshukuru mtu anayeitwa David Mark kwa kumsaidia kujiunga na udugu wa illuminati, kisha nikatazama barua pepe ya mtu huyo na namba ya simu iliyoandikwa hapo, niliogopa kuwasiliana naye kwa sababu nilitapeliwa mara nyingi na matapeli. na kwenda na zile pesa ndipo nilichanganyikiwa sana nikaamua kuwasiliana na mtu aliyepewa ushuhuda nikampigia na nikawasiliana naye kwa simu kabla hajaanza kunisimulia stori yake ya lini anataka kujiunga. aliniambia kila kitu kufanya, ndipo nilipoamua na kumpigia simu wakala David Mark na akaniambia kila kitu cha kufanya na mimi nilianzishwa, cha kushangaza nilipewa faida yangu ya kuwa mwanachama mpya wa udugu mkubwa wa illuminati nilifurahi sana, wale wanaojaribu kujiunga na shirika hili hii ni fursa yako kwako kujiunga WASILIANA NA MR David Mark kwa WhatsApp namba +2348140101327

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad