Tetemeko Kubwa Laikumba Yanga, Timu Kwenda Zambia kwa Treni...!!!!


Katika ile hali isiyotarajiwa, team pendwa wenyewe wakiita timu ya wananchi wamekutwa na tetemeko kubwa la kiuchumi kwa kuwa na hali mbaya ya kifedha.

Kutokana na utata huo uongozi wa juu wa timu hyo umeamua kusafirisha timu hyo kwenda nchini Zambia kumenyana na zanaco fc ya nchini humo kwa njia ya treni kupitia reli ya tazara had ktk kampilimposhi,

Mmoja wa kiongozi wa juu alionekana maeneo ya station ya tazara kwa ajili ya shughuli za booking na kuhitaji kujua taratibu za usafiri hyo

Alipoulizwa na mnyetishaji wetu kuwa kwnn wameamua kutumia usafiri huo alijibu kuwa wameamua kutumia usafiri huo kama njia rahis ya kuwawezesha kufika Zambia kwan wakiondoka alhamis ijumaa watakuwa Zambia, akaendelea pia kudai kuwa kocha ndo kashauri hvyo.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sitaki kuamini kama ni tetemeko kiuchumi,lakini Kama ni kweli basi ndani ya yanga kuna watu wako kuonyesha wanamapenzi na yanga kumbe sio.Nakumbuka kulikuwa na kutokuelewana na mwenyekiti wao wakionekana wako tayari kuendesha club hata kama manji hatakuwepo,najiuliza sasa hivi Wako wapi mpaka hali inakuwa hivi?

    ReplyDelete
  2. Waandishi wa habari wengi wao ni wachawi,
    kabla hujaanza kuandika uongo chunguza habari unayotaka kudanganya kama inafafana na ukweli halafu utoe habari.S.....................

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad