Tundu Lissu Aandika Historia TLS… Ashinda Urais kwa Asilimia 88...!!!


Wajumbe wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), jana wamefanya uchaguzi wa kumchagua rais pamoja na wajumbe wa ngazi mbalimbali za uongozi wa chama chao.

Tundu Lissu inaelezwa kwamba ameshinda urais wa Chama cha Wanasheria (TLS) uliokuwa ukifanyika Arusha, jana kwa zaidi ya 88% ya kura zote.

Uchaguzi huo umefanyika mjini Arusha ambako wanachama  wa TLS wamekutana kutekeleza ratiba hiyo pamoja na kupanga mipango mbalimbali ya utendaji kazi wa chama hicho.
Matokeo ni kama ifuatavyo:

Urais: Kura zilizopigwa 1682

    Tundu Lissu 1411  sawa na asilimia 88
    Francis Stolla 64
    Victoria Mandari 176
    Godwin Mwapongo 64

==>Kwa upande wa nafasi ya Makamu wa Rais (TLS) mshindi ni Godwin Ngwilimi aliyekuwa Mwanasheria wa Tanesco na kutimuliwa kwa kupinga Escrow.

Council Members
    Jeremiah Motebesya
    Gida Lambaji
    Hussein Mtembwa
    Aisha Sinda
    Steven Axweso
    David Shilatu
    Daniel Bushele
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad