U-Heard-: Mapovu ya Lulu Kuhusu Kunyang’anywa Bwana na Hamisa Mobetto...!!!


Moja kati ya story kubwa sana ambazo zimekiki week hii ni pamoja na hii ya muigizaji Elizabeth Michael (Lulu) kusemekana kupigwa kibuti na aliyekuwa mpenzi wake.

Mpenzi ambaye hapo awali alikuwa akitoka kimapenzi na mwanamitindo Hamisa Mobetto na taarifa zinasema walifanikiwa kupata mtoto.

Kuna sauti ambayo inasambaa katika mitandao ya kijamii ikielezea ubuyu mzima kuhusu Lulu kuachwa na mwanaume huyo na kusemekana kwamba mwanaume huyo amerudi kwa mwanamke wake wa zamani ambaye ni Hamisa Mobetto. Kama hujaisanukia bonyeza play kwqenye video hii hapa chini kusikiliza mwanzo hadi mwisho.
Soudy Brow aliamua kumvutia waya Lulu na kumtaka alizungumzie suala hilo, ndipo Soudy Brown alipokutana na mapovu mazito kutoka kwa mrembo huyo. Uhondo kamili nimekuwekea kwenye video hii unaweza kuitazama kwa kubonyeza play hapa chini.


Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Muosha huoshwa.

    ReplyDelete
  2. ha ha haaaaaaa kweli muosha huoshwa

    ReplyDelete
  3. Mbona ya Bashite hamyaulizi mxxxxxc mtaolewa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad