Mapenzi ni miongoni mwa mambo makuu yanayo msumbua mwanadamu. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu kuna mamilioni ya watu ambao wameuwawa kwa sababu ya mapenzi, wameua kwa sababu ya mapenzi ama wamejiua kwa sababu ya mapenzi. Wapo walio poteza nafasi zao za kazi kwa sababu ya mapenzi, wapo walio feli masomo yao shuleni kwa sababu ya mapenzi, wapo walio filisika kibiashara kwa sababu ya mapenzi, wapo waliopatwa na ulemavu wa kudumu kwa sababu ya mapenzi, wapo walio patwa na uchaa kwa sababu ya mapenzi, wapo walio tupiwa magonjwa mbalimbali ya kichawi kwa sababu ya mapenzi, wapo waliokosana na ndugu , jamaa na rafiki zao kwa sababu ya mapenzi.
Ongezeko la watoto wa mitaani, watoto yatima katika nchi za dunia ya tatu , Tanzania ikiwemo, ni miongoni mwa viashiria ya athari ziletwazo na matatizo katika mahusiano.
Ongezeko la wanawake kwa wanaume wanao jihusisha na tabia hatarishi za kingono, kwa kiasi kikubwa sana, linasababishwa na na kuwepo kwa matatizo katika mahusiano.
Hii inaonyesha ni namna gani ambavyo suala la mapenzi lina msumbua mwanadamu.,
Kinyume chake wapo watu walio pata mafanikio makubwa sana katika maisha yao kwa sababu ya kunyookewa katika masuala yao ya mahusiano.
Je , ni kwa nini basi mapenzi yanamuhanganisha na kumtesa mwanadamu kwa kiasi hiki?
Jibu la swali hili ni rahisi sana, hii ni kwa sababu ya kukosa elimu ya uhakika ya uchawi kuhusu mapenzi. Watu wanao fahamu elimu ya uchawi kuhusu mapenzi, hawasumbuliwi kabisa na kitu kinacho itwa mapenzi.
Ukitimiza masuala maalumu ya kiroho kuhusu mapenzi , utafurahia maisha yako ya kimapenzi, utampata mwanamke yoyote yule unaye muhitaji, utampata mwanaume yoyote yule unaye muhitaji na utaishi naye katika namna yoyote ile ambayo wewe unataka iwe. Atakupa chochote anachokitaka, kwa kiasi, hali, jinsi na namna yoyote ile unayo itaka wewe. Hata hivyo, ili, ufanikiwe katika hili pamoja na mambo mengine yote yale, unatakiwa kuhakikisha unafanya yafuatayo:
1. Unajiunga na madhabahu maalumu ya watu maalumu , yanayo ongozwa na malaika maalumu wanao toa ulinzi maalumu katika masuala ya kimapenzi kwa watu wanao shiriki katika madhabau hiyo.
2. Kushiriki ibada maalumu katika madhabahu husika.
3. Toa sadaka maalumu kwa madhabau husika.
4. Hakikisha unafuata na kutimiza maelekezo yote unayo pewa na kiongozi wa madhabahu husika.
Hakika utafurahia maisha yako ya kimapenzi katika siku zote za maisha yako.. Tafiti mbalimbali duniani zinaonyesha kuwa miongoni mwa mambo yanayo weza kumfanya mwanadamau aweze kufanikiwa vizuri katika maisha yake ni kuwa na tulizo la moyo wake( Yaani kuwa na mwanamke ama mwanaume anaye mpenda a kupendwa naye )..
Safi Sanaa
ReplyDelete