VIDEO: Mafuriko yaliyotokea leo DSM yamesababisha kifo cha mtu mmoja

Mvua ya takribani saa tatu iliyonyesha leo March 8 2017  jijini Dar es salaam na kusababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo ya Jiji, Tabata na Jangwani ndio maeneo yanayoripotiwa kuathirika zaidi na Mvua hiyo ambapo taarifa zimedai kuwa mtu mmoja amepoteza maisha kutokana na mafuriko hayo.

Bonyeza play hapa chini kutazama.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad