VIDEO: Mama Wema Atambulishwa Rasmi Chadema, Aitolea Povu CCM

Mama wa Malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu, Mariam Sepetu maarufu kwa jina la Mama Wema, leo Machi 18, 2017 amekaribishwa na kutambulishwa kwa uongozi wa CHADEMA jimbo la Kinondoni na kisha kupewa fursa ya kuzungumza machache, itazame video mpaka mwisho kujione tukio zima.

Tazama Video:
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sioni povu lolote likitoka apa mbona ameongea tu vizuri!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad