HomeUdaku SpeshoVIDEO:Alichoongea Ney wa Mitego Baada ya Serikali Kuamua Kumwachia na Kutoka Selo VIDEO:Alichoongea Ney wa Mitego Baada ya Serikali Kuamua Kumwachia na Kutoka Selo 0 Udaku Special March 27, 2017 Ney wa Mitego amewashukuru wasanii wote walioonyesha sapoti kwake kipindi alichokuwa matatizoni pia amemshukuru Rais Magufuli na waziri wake Mwakyembe, ila kuhusu kuonana na Mwakyembe Dodoma kama waziri alivyotaka amesema mpaka afikirie kwanza Bonyeza Play Tags Nay wa Mitego Udaku Spesho Newer Older