Video...Waziri wa Magufuli Atoa Povu Kuhusu Kuhusishwa na Video Inayomuonyesha Makonda Akingia Clouds Media Akiwa na Msururu wa Askari..!!!


Waziri Mwijage akikanusha ujumbe wa Twitter ambao ulionyesha kuwa ulitoka kwenye akaunti yake kuhusu suala la Makonda kuonekana akiingia kwenye ofisi ya Clouds Media na askari.

Sasa ni nani aliyezusha hiyo kitu kuwa Mwijage ndo kaandika hivyo? Mwijage kasema yeye hana kabisa akaunti huko Twitter.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad