Wananchi Wasikitishwa na Yaliyomkuta Mange Kimambi, Wataka Kumchangia.


Watu wengi wameoneshwa kusikitishwa na jambo lililomkuta Mange Kimambi kuhusu kupigwa mnada kwa Hoteli ya familia yao ambayo Mange anahisa 25%.


Kwa kuonyesha masikitiko yao juu ya jambo hilo, watu wengi wamemuomba Mange atoe namba ya Akaunti wamchangie ili aweze kulipa deni wanalodaiwa.


Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nayeye ajifunze kufunga domo lake, TOA KWANZA BORITI KWENYE JICHO LAKO, NDIPO UONE KIBANZI KWENYE JICHO LA MWENZAKO.......hovyoooooooo

    ReplyDelete
  2. HAHAHAHAHAH!UMEMUOMBA MSAMAHA LOWASA?ULIMKASHIFU,UKAMPA MABAYA YOTE AU UMESAHAU?MWENYE USO USIO NS HAYA WEWE,NDIO UKOME ULIDHANI UTABEBWA BAADA YA UCHAGUZI?MAGU SIO WA KUKUPA CHEO KIGEUGEU WEWE,HAO NDUGU ZAKE WAKO WASOMI KIBAO HAWANA NYADHIFA UTAKUWA WEWE WA MDOMO MCHAFU?KILA MTU UNAGOMBANA NAE.MIMI SIO CCM LAKINI 2020 NI BORA TUMPE ZITTO KULIKO HUKO UNAKODHANI WATAKUPA UBUNGE.

    ReplyDelete
  3. Wema kama una pesa kamlipie deni mamako alikotapeli nyumba

    ReplyDelete
  4. Sio wote, ukisema wananchi. Ni kundi sema baadhi ya wananchi

    ReplyDelete
  5. Apelekee kuleee ushuzi wakeee. Ikiwezekana akajambe mbeleeee!!!! Huyu.

    ReplyDelete
  6. Mwenzenu hana shida yuko hapa USA anaongea a nachotaka kwakuwa sheria haimbani nasiorahisi kukamatwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad