Wema Afurahia Kuachiwa Godbless Lema...Afunguka Haya


By@wemasepetu
Mungu ni mkubwa....Ni furaha kusikia Mh. Godbless Lema amepewa dhamana....Najua ulipitia wakati mgumu sana, najua ulikuwa mbali na familia yako, watoto wako, rafiki zako, makamanda wenzako na zaidi wananchi wako wa Arusha na Watanzania kwa ujumla....Ni faraja kwetu kwamba sasa umerudi mtaani kuendeleza mapambano.... Kwenye mapambano haya hautakuwa mwenyewe; Mdogo wako Wema nitakuunga mkono mpaka kieleweke....For that sake, Kesho i'll be in Arusha kuonyesha Solidarity ✌🏼✌🏼✌🏼 "FOR TO BE FREE IS NOT MERELY TO CAST OFF ONE's CHAINS, BUT TO LIVE IN A WAY THAT RESPECTS AND ENHANCES THE FREEDOM OF OTHERS" - NELSON MANDELA #CallMeKamanda

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lema kaoa. Tuliza kipapa chako cha kuvunda. Unaenda na kubwa jinga au ? Makurubembe wawili mnanuka chupi kama Mange mcxxxx

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad