Zifahamua Hatua Tatu Muhimu Anazopitia Mtu Mgonjwa Ili Kukifikia Kifo...!!!


wataalamu husema kifo huwa na hatua tatu

hatua ya kwanza ni kukikataa kifo,yaani hapa sasa mtu anahangaika kuhakikisha anaokoa uhai wake kwa kila namna


hatua ya pili ni makubaliano au mapatano, (wazungu husema kubargain) yaani hapa ndio anahangaika kweli mara mumkute katulia kama kafa mara yuko macho

hatua ya tatu ni kukikubali kifo (hapa sasa ndio mtu yuko tayari kufa nyie mnamuona kama amegive up) mtu huwa tayari kabisa kakubali matokeo kuwa ndio anaondoka. 
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uongo mtupu!! Mtu aliyekufa ndio mwenye ukweli kuhusu kifo.

    ReplyDelete
  2. Uongo; aliyekufa akafufuka atoe ushuhuda

    ReplyDelete
  3. Uongo Mkubwa;hamna aliyekufa akarudi,so tuwe tunaandika vitu vyenye msingi na hekima.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad