Zitto: NECTA Limesema hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda


Tumejulishwa kwenye Kamati kuwa NECTA hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda.

Yani wote hawapo kwenye kanzidata ya Baraza la Mitihani. Kwamba Tanzania haijawahi kuwa na wanafunzi wenye majina hayo 

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwahiyo tuwasaidie nn

    ReplyDelete
  2. VISHANYOFOLEWA!!!

    ReplyDelete
  3. Uongo. Mtu asienda shule awezi ongea point au speech nzuri. Weeee Zito Una yako nawee yatakushinda

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad