Zitto - Uvamizi wa Makonda Clouds Media Unabaraka za Rais Magufuli,Ushahidi Huu Hapa...!!!!


Nimefahamishwa kuwa waliomsindikiza RC wa Dar Clouds Media ni walinzi maalumu ambao kibali cha kuwatumia hutolewa na Rais au DG Usalama .

Kuna ulazima wa kuwapo Kwa uchunguzi Wa kibunge wa matumizi ya kikosi maalumu cha kumlinda Rais. Ni jambo baya na halivumiliki hata kdg

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zito ni lazima atambue kwamba, mara baada ya Makonda kujiingiza kwenye vita ya madawa ya kulevya, kila mtu alishauri Makonda aongezewe ulinzi, sasa cha ajabu ni kipi hapo?? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.......

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad