AFANDE Sele Amrushia Dongo Kitila " Kitila Ulikuwa Unaongea Sana Kabla Hujakaribishwa Mezani"


Kupitia ukurasa wa Facebook Afande Sele ameandika haya:

"Hongera Profesa Kitila Japo Kwa Shingo Upande Lkn Kupitia Wewe Nimejifunza Maana Ya Kuweka Akiba Ya Maneno Ili Elimu na Uungwana VIthibitishe Umuhimu Wake Ulimwenguni....Dah''Kitila Alikuwa Anaongee Saaana Kabla Hajakaribishwa Mezani...Sasa Na Yeye Yupo Mezani Kapewa Madikodiko Anakula....Mila Za Kikwetu Zinakataza Mtu Kuongea Wkt Wa KULA....Nasubiri Kuona Kama Kitila Atakiuka Mila Hiyo Kwa Kuendelea Kuongea Wkt Wa Kula Au Nae Atafuata Mkumbo Kwa Kukaa Kimya.....Dunia RangiRangile...." Afande Sele
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tatizo sisi watu weusi maneno mengi vitendo ziro, alafu mijitu hata ipate Elimu Vip haijui kuitumia Elimu yao Bali wanajua kutumia midomo yao, maneno mengi, ili mradi tu nae apate cheo kwenye siasa, ndio maana tuko nyuma kwa Kila nyanja, hawawazi hata utafiti wa kutatua matatizo ya mataifa yao, kama, umasikini,njaa,magonjwa na mengineyo, kama maendeleo, Elimu, afya, uduma muhimu miundo mbinu,wao walaaaaa!!!!! Bali midomo tu, mwisho wa siku wote chaliiii, looooh aseeeee bara hili na watu wake ni giza na bara nalo giza tupu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad