ALI Kiba na Ruby Wadaiwa Kuwa Wapenzi Ukaribu wao Wazua Maswali


DAR ES SALAAM: Ukaribu wa sexy lady wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ na MbongoFleva, Ali Salehe Kiba ‘King Kiba’, unadaiwa kuzua maswali kwa kuwa, jamaa huyo siku chache zilizopita alimvisha pete ya uchumba mwandani wake aitwaye Amina kutoka nchini Kenya.


Siku chache zilizopita uliibuka uvumi kuwa, mastaa hao kwa sasa wanatoka kutokana na ukaribu wao ambao umezua gumzo huku swali la wengi likiwa kama ni kweli hiyo ni ‘pea’ mpya Bongo, vipi kuhusu Amina?


Kufuatia ishu hiyo, Wikienda lilianza kwa kumtafuta Ruby na kumuuliza kama taarifa za ‘kuchepuka’ na Kiba zina ukweli ambapo alijibu kwa kifupi: “Sorry, sitaki kuulizwa kuhusiana na hayo mambo, naomba niulizwe kuhusu kazi zangu tu!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad