Almasi Mzambele atoa sababu zilizomtoa WCB


Licha ya kuamua kukaa kimya tangu aondoke WCB, Meneja Biashara wa Baraka the Prince na Bana Music Records, Almas Mzambele ameamua kuzungumzia hilo akisema hakufukuzwa bali aliamua kuondoka mwenyewe. 

Akijibu baada ya kuulizwa na mtangazaji Adam Mchonvu, Almas alisema mambo matatu aliyoyataja Lord Eyes yaani ubinafsi, wivu na utengano ndio yamesababisha kuondoka kwake WCB. 

”Any way, sikufukuzwa nimetoka, ila kuna mengi japo sijapenda tuzungumzie huko sana. Hapo kwenye ubinafsi ndio point yenyewe, ila tukaushe kwenye hilo.” – Almasi Mzambele.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad