ASKOFU Gwajima Amshauri Rais Magufuli Pa kumpeleka Makonda



Gwajima Kuhusu Makonda leo kwenye Ibada ya Ijumapili ya April 9, 2017: "kwanza huwa najiuliza Rais Magufuli akimtoa Leo Makonda, atampeleka wap? Ila ninaushauri mmoja, ampeleke kwenye Balozi zetu nje ya nchi, akimtoa na kumuacha hapa hapa watu watamgawana,


...Akiendelea kumuacha ipo siku atafanya vitu vya kuaibisha na vya ajabu, kwanza  Mimi ningekuwa Makonda ningekuwa nimeshaondoka siku nyingi,


Na hayo Mambo ya Ajabu yatakuja kutokea bado niko hai"

Hata hivyo Gwajima amesisitiza kuwa ataendelea kuzugumzia sakata la vyeti kuhusu Makonda nauacha haya Mengine mengine
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ahh...!! Gwaji unaubavu wa kutoa ushauri. Hiyo Barua ya ushauri umempa Balozi Kijazi au Afande mlangoni

    ReplyDelete
  2. Bora wewe Gwajima ungelihama hii nchi tushakuchoka. Mchungaji gani wewe mwenye gubu na uchochezi kama mana siasa. Ulianza na Dr slaa sasa makonda. Muache makonda afanye kazi yake na wewe endelea kutajirika. Kwani wajinga ndio waliwao. Please let makonda be.find another victim to traumatise you big bully

    ReplyDelete
  3. Huyu Mchungaji labda mchungaji wa ngombe siyo kanisa.

    ReplyDelete
  4. Hiyo ni nature wa watu wafupi kuwa ni wabishi na kujifanya kila kitu wanajua wao

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad