ASKOFU Gwajima Atangaza Kumsamehe Diamond Platnumz..Ila Ampa Onyo Hili

Askofu Gwajima leo alikuwa ameahidi kuweka wazi mambo ya Diamond Platnumz kujiunga kwake na Freemason , Lakini amedai kuwa Jana Diamond kupitia mtandao wa Kijamii wa Instagram Alimuomba Msamaha Kwa Mchungaji huyo,

Watu wengi leo walifurika katika kanisa hilo na wengine kutazama live kupitia Youtube wakitarajia kuwa anafunguka makubwa kuhusu Diamond lakini Karibia na Mwisho wa Mahubiri yake alidai Bibilia inasema mtu akiomba Msamaha Hupashwa Kusamehewa hivyo Hata ameamua Kumsamehe na kumsitiri , lakini ametoa onyo kuwa akiendelea kumchokoza wiki ijayo atafunguka....

Gwajima na Diamond wameingia katika vita baada ya Diamond Kumuimba askofu huyo katika wimbo wake uitwao Niache nikae Kimya

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. yaani hilo kanisa ni la majungu mijibaba kushindana na watoto Inst ovyo kuimba ni kawaida tu huna jipya na huko hakuna kazi yaani mambo ya maana mmeyaacha ya kuangalia vijana wanao angamia na madawa mmebaki kaimba kasema acha vijana wote waimbe wanavyotaka mbnona RCkaibwa Rais kaibwa ndio RAHA YA NGOMA KUIMBA

    ReplyDelete
  2. Msamehe chizi huyo kaibeba dunia amesahau kuna mwenye mbingu na ardhi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad