BAADA ya Kuishindwa Korea Kaskazini..Marekani Waivamia Taliban na Kumuua Kiongozi Wake Mkuu..!!!


Makao makuu ya jeshi ya Marekani, Pentagon, yamemwua Mshauri Mkuu wa kiongozi wa Taliban, Abdul Rahmna al-Uzbek katika shambulio lililofanywa nchini Syria

Kingozi wa Taliban ni Abu Bakr al –Bhagdadi.

Msemaji wa Pentagon, kanali John Thomas, alisema kuwa Abdul Rahman al-Uzbek, aliuawa Aprili 6 lakini taarifa zaidi hazikutolewa.

Alisema kuwa Al-Uzbeki alishiriki katika kupanga mashambulizi kwenye kilabu kimoja usiku wa kuamkia mwaka mpya mjini Istanbul ambako watu 30 walifariki.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad