Aisee Zitto unazingua .... Yani umeongea kama msemaji wa Ikulu sio opposition!! Seriously naomba ukajisikilize Tena kwenye Hii clip Yani umesound kama publicist wa Magufuli.... So sad yani ðŸ˜ðŸ˜©....Ndo maana hukutia mguuu clouds?? 😳😳 Nyie ndo tunawategea mkamwajibishe Rais kwa utumishi mbovu Alafu unakuja kumlamba lamba na kumsifia Hapa? 😳😳.. Aisee upinzani uko South Africa tu kwa kina Malema huku kwetu bado sana!!! #LipumbaJR
.
.
Magufuli alichokifanya Hapa ni kuwatenganisha upinzani... Na wewe umemruhusu afanye hicho kitu...... Yani in short umemsaidia Magufuli kudhoofisha upinzani. Kweli Zitto unasema Rais anaondoka kwenye kutenganisha watu, hivi ni kwamba huoni nchi ilivyotenganika kwa Sasa sababu ya Bashite? Very disappointed Na Huyu mtu! Yani I always thought Chadema ndo walimkosea huyu kaka Ila dah huyu jamaa mbaya kushinda Lipumba! Yani Zitto sio mtu!!!!
.
.
.
Na hamuwezi kuelewa why naongea Hivi, Jamani mimi kuna mtu wa CCM aliniapia Miungu yooooote just a few months ago wakati namposti posti Zitto kama opposer wa Magu..akaniambia wewe achana Na Zitto kabisaaa humjui na wala you don't know how the system works. Hapo Zitto anapiga kelele anatafuta pakumshikia Magu akipapata utamuona atakavyobadilika kama sio yeye... anatafuta pa kumshikia Magu kama alivyomshikaga JK mpaka wakamake a deal akaacha kuichokonoa serikali ya JK.Same thing Na Magu hapo anampa Magu jamba jamba mpaka Magu aingie line Alafu atatulia ataacha kuichonoa serikali kwa issue nzito Yani atabaki kama vile anagusia gusia tuu Ila sio ile kumu-Attack full kama mwanzoni.... Leo kanichekaaaa mnoooooo ananiambia haya mama much know umeona eeeeh??? Wewe bado mtoto mdogo huijui system sisi ndo tunaijua system, Doh, limenishuka shuuuu! Maana nilivyokuwa namtetea Zitto utasema nna undugu nae!!! .
Kila mtu anayo hakiya kutoa comments zake na lazima afanya hata analysis kidogo basi, jamani Mange upo kwa ajili ya Tanzaia au Tanzania ipo kwa ajili yako? ukijibu swali hili then nitakuwa natoa comments kuhusu hoja yoyote utakayo itoa. Ww ndiye unahitaji kujitathmini kwa unakijenga kwa hoja za kuwapumbaza watanzania, hapa siasa zinakuwa na vitu muhimu vitatu ambavyo ni Regulation,Condition na limitations, hata wewe ukikosa flow hii lazima uatajikuta unasema au kutoa hoja ambayo mwisho wa siku watu wenye akili watakuangalia kama mzimu au shetani, uanataka kuhalalisha usemi wa vitabu vitakatifu kuwa ishini nao kwa akili?,lakini pia wtanzania watakushangaa kama kweli umesoma, kama unachukulia upinzani kama uadui na hawafai kuongoza au kupewa madaraka. Kitu unachokifanya hakiwezi kuanywa na msomi kama wewe, au pia inawezekana ww siyo msomi bali unaishi nje ya nchi hii unajua lugha tu na uenda ukawa unatumiwa na watu wabaya wa taifa letu. Jiangalie sana wakati wa kutoa hoja yako kwa umma wa watanzania unaweza kingia matatani hadi kutafutwa na interpol kwa makosa ya uhaini na ukapatikana bila ya shida, kwa muenekanouenda hapo baadae ukakabiriwa na tuhuma hizo nzito kutoka na katiba yetu tukufu. Acha mchezo wa kitoto utakuharibia muda wako. Toa critics kulingana nakilichofanyika kama kina maslai kwa nchi na kwa chama aukundi fulani. Ulitakiwa kupongeza kwa uteuzi huo kwa maana Rais ameona upinzani kuna watuwanaweza kuungana na serikali yake katika kuisukuma nchi mbele kwa maslai mapana ya nchi yetu. Mdada mdomo ulikiponza kichwa chunga sana kujifanya unajua kumbe unaungua na jua. Toa hoja ila usivuke mipaka itakula kwako.ALUTA CONTINUA.
ReplyDeleteDADA WATU WENGINE WANAJIOGOPEA NAFSI ZAO.NI HEWALA BWANA TU
ReplyDeleteKitila Mkumbo hongera na chapa kazi kwa manufaa ya watanzania wote. Mungu ajusaidie na akutie nguvu. Mungu ibariki tanzania, rais na viongozi wake. Wape hekima hao viongozi. Waaibishe, wafadhaishe na waone haya wote wanaoitafuta na kupendezwa na shari ya taifa letu la Tanzania. Na wote wenye nia ya kutugawa au kututenganisha kwa kigezo chochote kile. Ninawatangazia kwa jina la Bwana Yesu, badala ya aibu watanzania tutapokea baraka mara dufu. Na badala ya michongoma na mimbigili, watantanzania ndani ya nchi yetu itaota na kumea mihadadesi na misonobari.
ReplyDelete