Mbunge HusseinBashe awataka wabunge CCM kuacha unafiki, akisema yupo tayari kufukuzwa ila kweli alikamatwa na maafisa wa usalama wa taifa.
'CCM acheni unafiki mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama mnasema hawakamati, kwa hili nipo tayari mniondoe kwenye chama.
Huu ni muendelezo wa alichokizungumza jana Bungeni kuhusu usalama wa Taifa kuhusika na utekaji
MJADALA NI KUKAMATWA AU KUTEKWA??? KAMA SIMUELEWI VILE............
ReplyDeletehaw watu NGOZI ZA KUPINDUA ni shida..haya ya ndani unayatoa nje..SERIKALI IKO AGAINST DRUG DEALERS
ReplyDeleteLKN still anajiondoa ufahamu.na wac wac na hyu atakuwa anahusika na hao jamaa km kufa km mwenzake NAPE.. na yatamfika km yalomsibu mwenzake..anatapatapa huko kwao mtama..ho mie msema kweli!!dont u know the meaning of SIRIKALI..