Breaking News: Spika wa Bunge Aagiza Polisi Wamkamate Mbunge Halima Mdee


Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugaiameliagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumfikisha Bungeni Mbunge wa Kawe (CHADEMA) Halima Mdee kujibu tuhuma za kutoa lugha za matusi kwa Spika wakati wa uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki uliofanyika April 4, 2017.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu mkosefu qa Nidhanu bado Yuko Tu .!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad