BREAKING NEWS..Kamati ya Maadili ya TFF Yamsimamisha Haji Manara wa Simba kwa Mwaka 1 na Faini ya Milioni 9..!!!


Kamati ya Maadili ya TFF imemsimamisha Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Haji Manara kujihusisha na soka ndani na nje kwa muda wa miezi 12 na faini shilingi milioni 9 vyote kwa pamoja

Mapema wiki hii TFF ilimfungulia mashtaka Manara kwenye Kamati hiyo inayoongozwa na Wakili Jorome Msemwa kutokana na kauli alizotoa wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari makao makuu ya klabu ya Simba SC.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad