Breaking Newss..Nape Moses Nnauye Afyatuka Mazito Kuhusu Sakata la Kufutwa Uwaziri na Magufuli..Ataka Aliyemnyooshea Bastola Akamatwe Lasivo Atafichua Makubwa ya Utawala wa JPM..!!!


Dar es Salaam. Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amezungumza na wapiga kura wake leo katika kijiji cha Chihuta huku akieleza kuwa yeye ndiye aliyemtafutia kura Rais John Magufuli katika kampeni za uchaguzi wa mwaka 2015.

Kadhalika Nape alizungumzia tukio la kutolewa bastola alipotaka kuzungumza na waandishi wa habari hivi karibuni na kuvitaka vyombo vya ulinzi na usalama vichukue hatua.

“Shida niliyonayo wapiga kura wangu huyu jambazi aliyetoa silaha vyombo vya ulinzi nausalama vinafanya nini,” alisema

 Alisema kutokana na tukio lile, alihitaji busara zaidi na kutulia kwani kifua chake kina mambo mengi.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. BADO unahitaji kutulia zaidi...na endelea kutumia busara kama ulivyoanza...tunakuombea heri.

    ReplyDelete
  2. huna lolote mchochezi tu.. tatizo la huyu alichukulia serikali na CCM km kipo mkononi mwake km ktk enzi za mh.Kikwete.kasahau km hii ni serikali ya hapa kazi tu ..no majungu na ngwajima wako..that was apart of ya job inthe part km atakavyo fanya sasa pole pole-udomo kaya kwenda mbele na ulilipwa kwa hilo..kwisha kwa hilo...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad