Breaking News..Zitto Kabwe Aungana Rasmi na Ukawa..Asema 2020 Lao ni Moja Watamsimamisha Mgombea Mmoja..!!


Kiongozi mkuu wa chama cha ACT wazalendo katika mahojiano maalum amesema mwaka 2020 kuwa hajapiga hesabu zakugombea urais amesema atakaa na vyama vya upinzani na kumsimamisha mgombea mmoja, mgombea huyo anaweza akatoka chama chochote kati ya Chadema, CUF,NCCR Mageuzi au ACT

Alipoulizwa kama anaukubali UKAWA kama muungano thabiti amesema wataunda umoja mwingine kwa sababu ule ulikuwa nikwa ajili ya mambo ya katiba

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiytoo act yenyewe Ina mtu mmoja. SI vichekesho.!!!KIONGOZI MKUU???anaona laha kulalwki

    ReplyDelete
  2. awe mkweli asje kuwa kigeugeu ifikapo siku ya kuchagua mgombea atakapokosa hiyo nafasi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad