Diamond Afurahia Kiki za Gwajima...Amshauri Shetta Kumuoa Mange



By @diamondplatnumz
@officialshetta ndugu yangu, Najua unanionea gere mwenzako toka juzi insta imehamia Madale....na wewe unataka kuingia kwenye huu upepo wa #Mzikisiasa ...we usijiulize ingia tu😁...maana mjini sasa hivi vingoma vya Mapenzi Vigumu...ikiwezekana jifanye hata unataka kumtolea Mahali Mange Umuoe...Kesho mji wote wako.....ila kuna mawili: Sentro au Matusi😅😅😅😅 - #SimbaMason
.
.
TOA MAONI YAKO HAPA

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Diamond jua kua wewe king wa east Africa, wanakuonea wivu sana ila usikate tamaa, songa mbele. Mungu yu nawe.Watapigana na wewe watashindwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad