Diamond Azindua Perfume yake ya Chibu


Diamond Platnumz leo mchana amezindua rasmi perfume yake ya Chibu Perfume, hatua ambayo ni ya kihistoria. 

Perfume hiyo yenye asili kutokea Dubai itauzwa kiasi cha Tsh 105,000. Diamond alisema “Inaaminika kuwa Dubai ndio sehemu kunakotoka manukato mazuri.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli KIKI imeisha hata ilivyozinduliwa kulikuwa na waandishi wa habari tuu.lol

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad