Je hicho kitendo alichofanya huyo Mheshimiwa sio kitendo cha udhalilishaji dhidi ya wanawake?????? Halafu eti tunaambiwa hiyo ndio Demokrasia inayotakiwa. Vyombo vyoooote vinavyosimamia haki za kimsingi za binadamu viko kimyaaaaa. Hatuoni hata mtu mmoja ama chombo chochote likiwamo Bunge likikemea hicho kitendo.

ReplyDelete