Fahamu Sifa Nyingine Usizozijua za Makabila ya Tanzania na Watu Wake Jinsi Walivyo..!!!


Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri.

Wagogo: wazuri wanawake ila kwa uvivu ndo wenyewe wanawake wanaume ni wavivu sana. 
Ndo maana hawaishi kuomba ilmradi tu kuomba utasikia "naomba chochote" 

Warangi: ni wazuri wa sura vitu vyeupeee utadhani waarabu ila sasa mhh mwakitombile, warangi ni kiboko. 

Wasukuma: wazuri wa mwonekano, wakarimu sana ndo maana mara nyingine wanaonekana mafalah sio ufalah ni ukarimu uliopitiliza, usiombe kukuta baadhi ya wasukuma wamefanikiwa ndo zinakua type hizi tunazozijua hapa.

Wairaq/wa mbulu: wazuri sana sura na shape zao ila wakorofi hatari, pia nao sio wachoyo kama warangi, afu hawa kugongana ndugu kwa ndugu sio ajabu.

Wanyakyusa: wanawake wana miili ya kuchezea mieleka wanene wamepanda hewani, ni wakarimu kwakweli ila kwa ubabe pia mmmh 

Waha: wengi wao wafupi, wana bidii sana ya kazi, wengi wao waaminifu sana, ila kwa ubishi jamani mweh muha anaweza kuwa wa kwanza duniani kwa ubishi, na kwenye ushirikina wapo vizuri 

Wapare: wengi wao wafupi, wazuri wa sura ila wapare wana roho mbaya mi binafsi Sijawahi kukutana na mpare mwenye roho nzuri. 

Wakurya: hawa jirani zangu mi mwenyewe huwa nawaogopa sana, ni wakatili mno, mkurya akikuambia nitakuchinja hata kama ni utani ndugu yangu kimbia speed kali hadi miguu iguse kichwa

Wanyamwezi : hawa ni kama aina tu ya wasukuma wana tabia za wasukuma ila kwa ushirikina wanyamwezi kiboko, enzi hizo mme hukai hivi hivi hadi mama akutengeneze sijui sasa hivi. 

Wachaga: wazuri wa sura, watafutaji, wanaume baadhi wanajitahidi kujali familia, miguu fito, maumbo yao huwa yana makosa ya kiufundi, ila siku hizi afadhali kwa sababu ya intermarriage basi wanazaliwa wachaga wenye maumbo ya kueleweka 

Wakerewe: hawa nao kwa kujivuna hawajambo wakati wanamiliki furu tu, kwa ushirikina pia wapo wapo

wachaga(wamarangu) :wastaarabu sana, wengi ni wazuri na watanashati. watafutaji wazuri wa eleri(pesa). wanaheshima, wanapendana, hawana ubinafsi kama wapare. sio washirikina kama wasambaa, wapole, wanapenda kujenga kwao,wanawai kumiliki magar kwa umri mdogo. waaminifu kwenye mapenzi.

waburunge/wasi wazuri kwa sura na tabia njema wapole na wakarimu ila huishi na kundi kubwa la ndugu ukioa /kuolewa na watu hao jiandae kulea kijiji kizima
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. apo kwa wachaga wa marangu hujakosea

    ReplyDelete
  2. WAMARANGU...wajuaji wanajiona wao very smart na kijizarau kipo hiyo ni nature yao.tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad