Fahamu Usiyoyajua Kuhusu Nyangumi..Anakula Kilo 36000 Ili Ashibe..!!!


(1)moyo wa nyangumi una kilo 600

(2]mtoto wa nyangumi ananyonya lita 600 kila siku ikiwa ni mwaka wa kwanza tu

[3]mtoto wa nyangumi anakuwaga na uzito wa ki 2700 ambao ni sawa na kifaru mkubwa saizi ya mwisho

[4]uzito wa nyangumi mkubwa unakadiriwa kuwa na tani 200 adi 300 mmoja jike alikamatwa na kupimwa alikutwa na kilo 171000

[5]ulimi wa nyangumi una uzito wa tani 3 ambao ni uzito wa tembo mkubwa

 [6]mdomo wa nyangumi unauwezo wa kuifazi tani 90 za chakula na maji akiufungua mpaka mwisho

[7]chakula kikubwa cha nyangumi ni dagaa kamba, ambapo nyangumi mkubwa hula dagaa kamba zaidi ya 4000000 kwa siku

[8]ili nyangumi ashibe zaidi anakula kilo 3600

[9]nyangumi anaweza kuishi miaka zaid ya 250

[10]baazi ya mishipa ya nyangumi ni mikubwa kiasi kwamba binadamu anaweza kuogelea ndani ya mishipa hiyo bila kugusa gusa pembeni 

[11]ukubwa wa nyangumi unaweza kuwa zaidi ya ndege aina ya #boeing

[12]urefu wa nyangu unakadiriwa kuwa mita 30mpaka 50 uki muweka ardhini urefu wake ni sawa na urefu utakao jitokeza baada ya kuya panga magari 9 ya familia, alie kamatwa mara ya mwisho alikuwa na urefu wa mita 33

[13]nyangumi ndiye mnyama mwenye sauti kubwa kuliko kitu chochote hapa duniani hutoa sauti kali sana kipimo cha #DECIBLES_188 ambayo inaweza kusikika umbali wa kilo mita 848 ni sauti kubwa na kali kuliko sauti itoayo ndgege kubwa aina ya JET inapo anza kupaa ambapo kipimo cha sauti ya JET ni #DECIBLES_120 #MUNGU wa ajabu sana akaona nyangumi amtupe baharini asi ishi ardhi nakuacha na swali JE ardhi na bahari kipi kimechukua sehemu kubwa hapa duniani. Imeandikwa na #Mussa Chimae# from different sources.,,
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad