Gwajima Ajipanga Kununua Treni ya umeme

 Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema amedhamiria kununu treni ya umeme  baada ya Rais John Magufuli kuonyesha dhamira ya kujenga reli  ya kisasa(standard gauge).

Gwajima ameyasema hayo leo katika ibada ya Jumapili  huku akimsifu Rais Magufuli kwa kuchukua hatua hiyo.

Alisema licha yeye ni mchungaji wa Taifa na anaamini ipo siku Dar es Salaam yote itakwenda kanisani kwake kusali.


Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu jamaa kweli anataka kiki kwanguvu eti atanunu train siku nyingi hajaonekana kwenye mitandao anaona afadhali atangaze kununu train.

    ReplyDelete
  2. mhhhhh....!!! Hapa itabidi tumtasimini huku kiongozi...!!! Manayake hii Inatisha na ila walakini

    ReplyDelete
  3. mhhhhh....!!! Hapa itabidi tumtasimini huku kiongozi...!!! Manayake hii Inatisha na ila walakini..au ndiyo bashite effect!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad