
Harmorapa Ameandika haya:
"Hii sio show ya bure ilikua na kiingilio chake babu👌👌waambieni nyani kasema #Mungu akisema yes akuna Wa kuzuia maamuzi yake🙌🙌 wapo wengi afu wamefanya show ya bure ila bado wamekaa kwa #sokweMmoja😂😂 asante @ericshigongo na @globalpublishers
.
Naombeni nipumzike nikiamka ntawapostia mapicha na maclip ili muone jinsi ndugu yenu Mungu alivyo nibariki" Harmorapa
TOA MAONI YAKO HAPA