HARMORAPA Awatupia Dongo Hili Wasafi Baada ya Jana Kufanya Show ya Bure



Harmorapa Ameandika haya:

"Hii sio show ya bure ilikua na kiingilio chake babu👌👌waambieni nyani kasema #Mungu akisema yes akuna Wa kuzuia maamuzi yake🙌🙌 wapo wengi afu wamefanya show ya bure ila bado wamekaa kwa #sokweMmoja😂😂 asante @ericshigongo na @globalpublishers
.
Naombeni nipumzike nikiamka ntawapostia mapicha na maclip ili muone jinsi ndugu yenu Mungu alivyo nibariki" Harmorapa

TOA MAONI YAKO HAPA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad